Pages

Tuesday, 30 September 2014

VIVUTIO VYA PUNDAMILIA WAKIWA MBUGANI


Pundamilia hawa wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, wakiangalia mbali kwa mshangao.


Pundamilia wakiwa katika hifadhi ya taifa ya Manyara wakinywa maji mto Manyara.