Hiki ni kiti cha wapendanao kilichopo katika nyumba ya makumbusho Zanzibar. |
Viatu na pete vilivyo tengenezwa kwa mbao vya mke wa mfalme Seyyid Khalifa vipo katika makumbusho Zanzibar. |
Kumbukumbu ya kitanda cha mfalme Seyyid khalifa. |
Hili ni gari lililotumiwa na Austin Princes aliyekuwa balozi wa kiingereza kabla ya mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964. |
No comments:
Post a Comment