Pages

Wednesday, 22 October 2014

KARIBU ZANZIBAR


Mashua ya Azam Marine ikiwa katika safari zake za kila siku kupeleka watalii Zanzibar.

Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari cha A3   Institute of Professional Studies walipowasili Zanzibar kwa   ziara ya kimasomo kujua mila,desturi,tamaduni, mambo ya kisiasa na utalii wa ndani.
 

Wanafunzi wakifurahia Zanzibar.



No comments:

Post a Comment