Reel to Reel tape recoder iliyokuwa ikitumika zamani na redio Zanzibar,kurecord na kutunza taarifa mbalimbali. |
Hizi ni kochi zilizotengenezwa kwa miti kisiwani Unguja. |
Hii ni picha ya meno ya Tembo iliyopo makumbusho ya Zanzibar.Watu wengi huita pembe za Ndovu,kiuhalisia zinaitwa meno ya Ndovu au Tembo. |
Hizi ni ngazi 100 zilizopo ufukweni mwa bahari ya Hindi Zanzibar,watu huzitumia kwa ajili ya mazoezi. |
No comments:
Post a Comment