Pages

Tuesday, 21 October 2014

ULISHAKUTANA NA NDITO?

Wamasai wakiruka kuashiria furaha na tamaduni zao.
Huyu ni msichana wa kimasai aliyevalia shanga zilizoshonwa kwa umahiri na kupangwa vema katika shingo yake na nyingine zikiwa zina ning'inia masikioni,Mara nyingi hupambwa na kuchorwa usoni ni pale ambapo anaolewa au anafanyiwa sherehe ya kutoka jandoni.Msichana wa Kimasai anapofikia umri wa kuvunja ungo huwa anaitwa NDITO.Mila na desturi ya kimasai huwa wana fanya ukeketaji kwa wanawake, na hili ni tatizo kubwa ambalo limeikumba sana jamii zetu,kutokana na madhara yanayotokea,serekali na taasisi zisizo za kiserekali wameamua kupambana na kuteketeza kabisa mila na desturi potofu.
Kubeba fimbo na sime,  ni mila na desturi ya wamasai,wanaamini kwamba muda wowote anaweza kukutana na adui.

No comments:

Post a Comment