Pages

Thursday, 2 October 2014

VAZI LA ASILI YA MWAFRICA

Wasichana wa rika dogo la kiafrika wakiwa katika mwonekano wa vazi la asili.
Vijana waliovaa vazi la asili ya mwafrica, wakiruka kamba kwa furaha.



Vazi la  mwafrica toka enzi za mababu zetu lina mwonekano wa jinsi hii, kama ambavyo picha hapo juu zinaonyesha, lakini kuna wakati linaleta mkanganyiko pale ambapo mwafrika anapo vaa nguo fupi au tuu inaonyesha baadhi ya viungo vyake hasa kwa wanawake,Mtazamo wa leo ni kwanba nguo ikiwa fupi au ya kubana,ni uvunjaji wa maadili ya mwafrica,Wengi wanasema kuwa kuvaa hivyo ni kuiga kutoka kwa wazungu,hilo ni sawa kwa kuwa,nguo tunazo vaa sasa zina utofauti na hizi zetu za aslili kama ilivyo pichani.Mbona imeonekana ni ukiukaji wa maadili wanawake wa leo kuvaa nguo fupi,Na hapa vazi la asili ya mwafrika linaonyesha 50% ya mwili wote liko wazi.Leo kuvaa nguo fupi ikiwa juu ya goti ni maadili mabaya yaani 95% ya mwili uliofunikwa.Sasa kipi kilicho bora..na kufunika mwili wote si vazi la mwafrica,hakika inaleta mkanganyiko katika swala la mavazi ya mwafrika na mwonekano wake.

Tubadilike sasa tuthamini utamaduni wetu,tuachane na hisia za kimwili,turudi kabisa katika utamaduni wetu wa asili ya mwafrika,tukumbuke mavazi yetu ya asili kama ilivyo pichani ili tudumishe mila na desturi zetu.




2 comments:

  1. well done my sis rose kwa mavazi ya asili yetu tunategemea kuona meeengiii na mengi

    ReplyDelete
  2. Asante......na ndo mana twatakiwa kujua asili yetu mana mtu akivaa ya kuacha kitovu wazi watu wanamuaona kama kasahau kumbe tunasahau tulipotoka.

    ReplyDelete