Ndizi aina ya malindi hupikwa, na kuliwa kama chakula, na pia huvundikwa na kuiva huliwa kama tunda,madafu hutoa maji kinywaji. |
Mkonge wa tembo ni ndizi ambazo zinafaa kupikwa na kukaangwa. |
Ndizi hupikwa kwa kuchanganya na viazi vitamu. |
Matunda aina ya tikiti maji na embe dodo. |
No comments:
Post a Comment