Zanzibar ni nchi yenye utajiri uliyofichika,utalii na hitoria ya mambo ya kale ni kivutio kikubwa sana.Visiwa vya zanzibar vimejaliwa kuwa na miti na wanyama wa aina yake,pia zanzibar imekuwa na aina tofauti tofauti ya vyakula,kuni pamoja na bidhaa mbalimbali ikiwamo viungo vya asili.Wageni kutoka nchi mbalimbali na Tanzania Bara hufika kujionea mandhari nzuri na ya kuvutia.
Miti na uoto wa asili uliopo katika kisiwa cha Unguja. |
Mandhari ya kuvutia iliyopo Palm Beach Inn ufukweni mwa bahari ya Hindi.
|
No comments:
Post a Comment