Kochi lililo tengenezwa kwa miti na kamba za katani. |
Chombo cha kujimwagia maji wakati wa kuoga kimetengenezwa kwa kifuu cha nazi na mshikio wa mti kimewekwa juu ya stuuli. |
Kiti kilichotengenezwa kwa miti na ngozi ya mbuzi. |
Feni iliyotengenezwa kwa majani ya makuti. |
No comments:
Post a Comment