Kumbukumbu ya utumwa wa mwafrica,hizi sura za sanamu ni za uhalisia ya baadhi ya wazanzibar.
|
Chumba cha mtumwa askari aliyekuwa akichunga wenzake. |
Sanamu zinazoonyesha biashara ya utumwa. |
Baadhi ya chumba kilichotumika kuhifadhi watumwa kabla ya kuuzwa. |
No comments:
Post a Comment